Biubwa Amour Zahor Mwanamke Mwanamapinduzi (Paperback)

Biubwa Amour Zahor Mwanamke Mwanamapinduzi By Zuhura Yunus Cover Image
$22.48
Not on our shelves, but available to order.
(This book cannot be returned)

Description


Biubwa Amour Zahor: Mwanamke Mwanamapinduzi ni kitabu cha kipekee kabisa katika historia ya ushiriki wa wanawake kwenye harakati za Waafrika kijitawala, siyo kwa Zanzibar tu, bali kwa Tanzania nzima na Afrika kwa ujumla.

Ushiriki wa Biubwa katika Mapinduzi ya Zanzibar haukulenga kupata cheo wala sifa, bali kutoa mchango wake muhimu katika kuwezesha Mapinduzi, jambo ambalo ni nadra sana katika siasa. Biubwa ametoa mfano wa uwanamapinduzi unaotakiwa kuigwa na wengi, hasa vijana wa jinsia zote wanaopenda nchi yao, ili kuhakikisha kuwa nchi yetu na Afrika yetu inasonga mbele.


Product Details
ISBN: 9789987735846
ISBN-10: 9987735843
Publisher: 978-9987-735-84-6
Publication Date: November 1st, 2021
Pages: 226
Language: English